IGP MWEMA AWAVISHA NISHANI MAOFISA, WAKAGUZI NA ASKARI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

IGP MWEMA AWAVISHA NISHANI MAOFISA, WAKAGUZI NA ASKARI.

8Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Charles Kenyela kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. 9
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu na tabia njema, Sajini Meja kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi. 5
6Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi uliotukuka Tanzania, Mkuu wa Kitengo cha maadili, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Patrick Byatao kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.7Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya utumishi mrefu Tanzania, Mkuu wa Mafunzo wa Jeshi la Polisi Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP), Elice Mapunda kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
10 11
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akimvisha nishani ya mwenge wa uhuru daraja la nne, Sajini Martha Njau kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.
1Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam.icha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.2Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. 3Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Saidi Mwema akikagua gwaride lililoandaliwa rasmi kwenye hafla ya kuwavisha nishani Maofisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa Kanda ya Mashariki. Hafla hiyo ilifanyika jana Jijini Dar es Salaam. Picha na Hassan Mndeme

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages