Mkurugenzi
mtendaji wa kampuni ya bia ya Serengeti Steve Gannon, katika picha ya
pamoja na viongozi wa mtaa wa Chang`ombe `B’ baada ya kutembelea kiwanda
cha bia cha Serengeti jana jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti
wa mtaa wa Chang`ombe `B’ Ahmad Khadil akizungumza na wana habari kwa
niaba ya viongozi wenzake mara baada ya kutembelea mtambo wa kusafisha
maji taka na kuua kemikali ndani ya kiwanda cha Bia cha Serengeti jana
jijini Dr es Salaam. Mfanyakazi
wa kiwanda cha Serengeti akimuonesha mwenyekiti wa Chang’ombe` B’ aina
ya ngano inayotumika katika utengenezaji wa vinywaji vinavyozalishwa
kiwandani hapo. Mtambo wa kudhibiti maji taka na kuua kemikali. Mtaalamu
wa mtambo wa kudhibiti maji taka Simon Peter kutoka kampuni ya bia ya
Serengeti akitoa maelekezo kuhusu namna mtambo huo unavyofanya kazi
katika namna ya utunzaji wa mazingira
Mtambo wa kudhibiti maji taka na kuua kemikali
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)