FAST AND FURIOUS 6 YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI LONDON - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

FAST AND FURIOUS 6 YAZINDULIWA RASMI LEO JIJINI LONDON

Muigizaji Michelle Rodriguez akisaini poster

Waigizaji wa filamu hiyo wakiwemo, Vin Diesel, Michelle Rodriguez, Tyrese, Jordana Brewster, Luke Evans, Ludacris Paul Walker na wengine walihudhuria uzinduzi huo wa Leicester Square. Utazamaji wa kwanza wa filamu hiyo ulifanyika Empire cinema, jijini humo.
Elsa Pataky poses for the cameras
Ludacris
Ssung Kang kwenye uzinduzi
Bondia David Haye naye alikuwepo
Tyrese na mrembo
Paul Walker na Vin Diesel
Vin Diesel
Waigizaji Paul Walker, Vin Diesel na Tyrese Gibson (37)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages