BAADA YA WAZIRI MEMBE KUWAONYA KIKUNDI CHA M23 BUNGE, SASA NAO WATOA VITISHO VIKALI KWA TANZANIA KUPITIA MTANDAO WAO WA TWITTER - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BAADA YA WAZIRI MEMBE KUWAONYA KIKUNDI CHA M23 BUNGE, SASA NAO WATOA VITISHO VIKALI KWA TANZANIA KUPITIA MTANDAO WAO WA TWITTER

Kuptia Tovuti ya kijamii ya Twitter Jeshi la waasi wa nchini DRC kimetuma ujumbe wa vitisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje Bernard Membe, kufuatia kauli aliyoitoa Bungeni  kuhusu Tanzania kupeleka jeshi lake DRC kukabiliana na waasi hao.

Ni hii ndio tweet yao
M23 Congo RDC ‏@m23congordc 16h
@ Bernard Membe tunasubiri majeshi yako Congo. Usidaganye bunge lako eti Tanzania inakuja zima moto,bali munakuja kuweka mafuta kwenye moto.Bofya hapa chini kusoma zaidi bofya Hapo Chini

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages