Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Mpendae, Salim Hassan
Abdullah Turky kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda na Mbunge wa Viti Maalum, Zarina Madabida wakitoka
kwenye ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma, Aprili 10, 2013.
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Wawi, Hamad Rashid
(kulia) , Mbunge wa Kilindi Beatrice Shellukindo (Wapili kulia) na
Mbunge wa Viti Maalum, Zainab Kawawa kwenye viwanja vya Bunge Mjini
Dodoma, Aprili 10, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)