Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Ludewa, Deo Filikunjombe
kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013. Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wanachuo wa Chuo Kikuu cha
Kumbukumbu ya Mwalimu Julius Nyerere kwene ukumbi wa Spika mjini Dodoma
Aprili 17,2013. Waziri
Mkuu,Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum kwenye jengo
la Utawala la Bunge Mjini Dodoma Aprili 17, 2013. Kutoka kushoto ni
Frlister Bura, Leticia Nyerere na Christowaja Mtinda. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)