uchaguzi wa wajumbe wa katiba ngazi za mtaa. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

uchaguzi wa wajumbe wa katiba ngazi za mtaa.

Baadhi ya wakazi wa Mtaa wa Oysterbay jijini Dar es Salaam,wakiwasikiliza baadhi ya wagombea hawapo (pichani) wa nafasi za ujumbe wa uwakilishi wa baraza la Marekebisho ya  Katiba  yaliyofanyika katika Mtaa huo uliopo Kata ya Msasani jijini Dar es Salaam.
Wagombea wa nafasi za ujumbe wa baraza la Marekebisho ya  Katiba  kutoka  Mta wa Oysterbay Kata ya Msasani jijini Dar es Salaam, wakipiga kura wakati wa uchaguzi huo uliofanyika leo katika shule ya msingi Oysterbay, kutoka kuklia Eustace Mtumbuka,Bujiku Sakila,Amos Mwakilasa,Wilfred Mpembe,Anna Matinde na Charles Igogo  ambao walichuana katika nafasi za jumla katika kundi hilo Charles Igogo na Bujiku Sakila waliibuka washindi.

Baadhi ya wakazi wa Mtaa wa Oysterbay jijini Dar es Salaam, wakiwa katika uchaguzi wa nafasi za ujumbe wa uwakilishi wa baraza la Marekebisho ya  Katiba  yaliyofanyika katika Mtaa huo uliopo Kata ya Msasani jijini Dar es Salaam
Msimamizi wa uchaguzi katika Mtaa wa Oysterbay  akitangaza matoke ya uchaguzi wa nafasi za ujumbe wa uwakilishi wa baraza la Marekebisho ya  Katiba  yaliyofanyika katika Mtaa huo uliopo Kata ya Msasani jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages