RAIS WA ZNZ DKT SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA KIMATAIFA YA UTAFITI WA KILIMO (IITA) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS WA ZNZ DKT SHEIN AKUTANA NA MKURUGENZI WA TAASISI YA KIMATAIFA YA UTAFITI WA KILIMO (IITA)

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Mkurugenzi wa Taasisi  ya Kimataifa  ya Utafiti wa Kilkimo (IITA) yenye Makao yake Makuu nchini Kongo Dk.Nteranya Sangiinga,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar na ujumbe wake leo.
Mkurugenzi wa Taasisi  ya Kimataifa  ya Utafiti wa Kilkimo (IITA) yenye Makao Makuu nchini Kongo Dk.Nteranya Sangiinga,(aliyesimama) akitoa maelezo kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,wakati wa mazungumzo akiwa na  Ujumbe wake  Ikulu Mjini  Zanzibar leo.  Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages