SBL YAMKARIBISHA BALOZI WA IRELAND NCHINI KATIKA KIWANDA CHAKE CHA MOSHI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

SBL YAMKARIBISHA BALOZI WA IRELAND NCHINI KATIKA KIWANDA CHAKE CHA MOSHI.

1Meneja wa kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah akitoa maelezo mafupi kwa wana habari juu ya ugeni kiwandani hapo kulia kwake ni Balozi wa Ireland nchini Fionnuala Gilsenan na kushoto kwake ni Msambazaji mkuu wa bidhaa za Kampuni ya Bia ya Serengeti mkoani Kilimanjaro. 2Balozi wa Ireland nchini  Fionnuala Gilsenan kushoto akiwa na mwenyeji wake Meneja wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah akitembelea kiwanda hicho mwishoni mwa wiki hii. 3Balozi wa Ireland nchini  Fionnuala Gilsenan akionja bia ya Guinness inayozalishwa kiwandani hapo(kulia) akiwa pamoja na katibu wake Nicholas Michael(katikati) na mwenyeji wake Meneja wa Kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah(kushoto) 4  Balozi wa Ireland nchini  Fionnuala Gilsenan akipata maelekezo kutoka kwa mtaalamu wa maabara ya kiwanda hicho Jemima Mwambungu. 5Mpishi mkuu wa bia za Kampuni ya bia ya Serengeti Moshi Julius Nyaki akitoa maelekezo kuhusu upikaji wa bia ya Guinness kwa Balozi wa Ireland nchini  Fionnuala Gilsenan mara baada ya kutembelea kiwanda hicho mwishoni mwa wiki. 6Balozi wa Ireland nchini  Fionnuala Gilsenan(kulia) akizungumza na wana habari mara baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea Kiwanda cha Bia cha Serengeti cha mjini Moshi akiwa na Meneja wa kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah. 8Meneja wa kiwanda cha bia cha Serengeti Moshi Colman Hannah(kulia) akitoa ufafanuzi zaidi kuhusu utengenezaji wa bia ya Guinness kwa Balozi wa Ireland nchini  Fionnuala Gilsenan(wa pili kutoka kulia) na katibu wa balozi huyo Nicholas Michael(wa pili kushoto)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages