ROADSHOW KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YAENDELEA KATIKA JIJI LA SHANGHAI CHINA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ROADSHOW KUTANGAZA UTALII WA TANZANIA YAENDELEA KATIKA JIJI LA SHANGHAI CHINA

1Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahimu Mussa (kulia) akihojiwa na mwanahabari jijini Shanghai wakati wa Roadshow iliyofanyika jijini hapo kutangaza utalii wa Tanzania. Katikakti ni Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao
2Sehemu ya wakazi wa Shanghai wakifuatilia  mada katika roadshow hiyo.
3Maafisa kutoka Tanzania (kutoka kushoto) Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki; Meneja Sheria wa Mamlaka ya Ngorongoro Egidius Mweyunge; Meneja Huduma za Utalii wa TANAPA Johnsone Manase na Mkurugenzi wa Idara ya Utalii Ibrahimu Mussa wakiwa katika roadshow hiyo jijini Shanghai.
4Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii Bi. Nuru Millao akifungua roadshow jijini Shanghai.
5Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Dk. Aloyce Nzuki akiwasilisha mada kuhusu Utalii wa Tanzania kwa wakazi wa Shanghai China.
6Baada ya uwasilishaji wa mada Watanzania hawa walijumuika kuimba pamoja wimbo wa TANZANIA YETU NCHI YENYE FURAHA mbele ya halaiki ya wakazi wa Shanghai China.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages