Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi Mdogo wa China aneyeishi Zanzibar,Bibi Chen Qiman,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifuatana na Balozi Mdogo wa China aneyeishi Zanzibar,Bibi Chen Qiman,(kushoto) mara baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)