NMB YAFUNGUA TAWI JIPYA JIJINI BUZURUGA JIJINI MWANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

NMB YAFUNGUA TAWI JIPYA JIJINI BUZURUGA JIJINI MWANZA

 Mandhari ya nje ya jengo jipya la Tawi la Benki ya NMB Buzuruga, kama inavyoonekana baada ya kukamilika.
 Sehemu ya ndani ya benki hiyo wanapotakiwa kusimama wateja katika foleni wakati wakielekea madirishani kupata huduma.
Sehemu ya kusikilizia wateja wanaofika ndani ya benki hiyo kupata huduma 'Customer Care'.

NMB inaendelea kupanua mtandao wake wa matawi na kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wake.

Sasa NMB imekuwa karibu na wateja wa eneo la buzuruga kwa kufungua tawi eneo la Buzuruga Mwanza katika jengo la Buzuruga Plaza lililopo karibu na kituo cha mabasi cha Buzuruga.

NMB inaendelea kuwa kinara katika ubunifu Tanzania kwa kuanzisha huduma nyingi za kibenki. Hivi karibuni imeungana na Vodacom ili kuwarahisishia wateja kupata huduma za kibenki kwa urahisi. Sasa wateja wanaweza kuweka na kutoa fedha kwenye akaunti ya NMB kutokea M-Pesa. 

Huduma hii ni ya haraka, salama, unaitumai popote ulipo na wakati wowote.   

Kwa mawasiliano zaidi, wasiliana  na: NMB Buzuruga;
S.L.P 1450
Mwanza
Simu: 028 2570483
           : 028 2570482

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages