| Gari ya Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ unaongozwa na mwenyekiti Spear Patrick unatarajia kuzindua hivi karibuni Gari la mtandao huo ambao litakuwa na matangazo mbalimbali ya kazi za kampuni hiyoo |
| GARI HIYO INAVYO ONEKANA KWA NYUMA |
| Mwenyekiti wa Mtandao PR Spear Patrick akionesha moja ya upande uliokua na matangazo hayo |
| Mafundi wakiendelea kuiremba gari hiyo |
| Mwenyekiti wa Mtandao huo Spear Patrick akiwa amepozi |
| MKOKO WA Mtandao wa kijamii wa http://prhabari.blogspot.com/ |





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)