NMB KANDA YA DAR ES SALAAM YATOA SEMINA KWA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

NMB KANDA YA DAR ES SALAAM YATOA SEMINA KWA WAJASIRIAMALI JIJINI DAR


Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Dar es Salaam, Salie Mlay (kulia), akizungumza wakati mkutano na wanachama wa NMB Business Club, Kanda ya Temeke, uliofanyika leo, Mbagala, Dar es Salaam. Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa klabu hiyo, Ezekiel Gutti, Meneja wa Mikopo Midogo Midogo ya Biashara wa benki hiyo, Mashaga Changarawe na Loelia Kibassa ambaye ni Meneja wa Mikopo ya Kati ya Biashara. 

 Mwanachama wa NMB Business Club Kanda ya Temeke, Hermetus
Urassa akichangia mada wakati wa semina ya wajasiriamali iliyoandaliwa na benki ya NMB jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NMB Business Club Kanda ya Temeke, Ezekiel Gutti akifafanua jambo wakati wa mkutano wa wanachama wa club hiyo jijini Dar es Salaam. Katikati ni Meneja wa Mikopo Midogo Midogo ya Biashara wa benki hiyo, Mashaga Changarawe na Meneja wa Mikopo ya Kati ya Biashara,  Loelia Kibassa.
 Baadhi ya wajasiriamali wakiwa katika warsha hiyo.
 Mmoja wa wajasiriamali akichangia mada.
 Meneja wa NMB tawi la Temeke, Halord Lambileki akiwa maofisa wa NMB. 

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages