MKURUGENZI WA MICHEZO LEONARD THADEO AFUNGUA SEMINA YA SAYANSI YA MICHEZO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKURUGENZI WA MICHEZO LEONARD THADEO AFUNGUA SEMINA YA SAYANSI YA MICHEZO

IMG_0968Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Ndugu Leonard Thadeo katikati  akizungumza na washiriki wa mafunzo ya siku mbili ya Sayansi ya Michezo yanayoendeshwa na wataalam wa Michezo kutoka katika Chuo cha Newman University Uingereza.Kulia ni Dkt. Iman Silver Kyaruzi na kushoto ni Dkt. Tony Myers. Semina hiyo inafanyika  jijini Dar es Salaam
IMG_0984Baadhi ya washiriki wakimsikiliza Mkurugenzi wa Maendeleo ya Michezo nchini Ndugu Leonard Thadeo( hayupo pichani) kuhusu Semina ya siku mbili ya Sayansi ya Michezo inayoendeshwa na wataalam wa Michezo kutoka katika Chuo cha Newman University cha London
IMG_0988Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo Ndugu Leonard Thadeo (Kushoto waliosimama) akitoa maelezo mafupi kwa mtaalamu wa michezo kutoka Newman University cha London Dkt.Tony Myers( kulia aliyesimama)  katika Semina ya siku mbili ya Sayansi ya Michezo inayofanyika  Jijini Dar es Salaam.( Picha zote na Benjamin Sawe wa WHVUM)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages