MKUFUNZI WA MASWALA YA MAWASILIANO AMALIZA ZOEZI LA KUWAFUNDA MAAFISA MAWASILIANO WA IDARA ZA SERIKALI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MKUFUNZI WA MASWALA YA MAWASILIANO AMALIZA ZOEZI LA KUWAFUNDA MAAFISA MAWASILIANO WA IDARA ZA SERIKALI

6---wiggins(kati) Assah(kulia) judith mhina 
Hivi karibuni Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia Idara ya Habari (MAELEZO) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Uingereza nchini  imewapatia mafunzo ya  kuwajengea uwezo Maafisa  Mawasiliano kutoka Taasisi mbalimbali za Serikali jinsi  ya kutumia mitandao ya kijamii katika kuimarisha mawasiliano. Mafunzo hayo yameendeshwa na  Taasisi ya Thomson Foundation na kugharamiwa na Serikali ya Uingereza. Pichani  Mkufunzi wa Mafunzo David Wiggins (katikati) akifurahia zawadi ya shati la kitenge baada ya kukabidhiwa na Afisa Mawasiliano kutoka Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi  Judith Mhina (kushoto ) kwaniaba ya wenzake, (kulia) ni Mkurugenzi  wa Idara ya Habari Assah Mwambene. 7--washiriki wakiwa katika picha ya pamoja baada yakumalizaMaafisa Mawasiliano Serikalini wakiwa katika picha ya pamoja. baada ya kumaliza  mafunzo ya  jinsi ya kutumia mitandao ya kijamii  kama facebook,twitter, flickr nablogs. 8-siku ya mwisho ya mkufunzi akiagaMkufunzi kutoka  Uiengereza David Wiggins akiwaaga Maafisa Mawasiliano Serikalini (hawapo pichani) baada ya kumaliza  mafunzo katika Ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) .

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages