Na Fredy Njeje wa Mbeya yetu Blog
Ni miaka mitano sasa imepita tangu ulipo enda kwenye
makao ya kudumu Baba yetu Mpendwa tarehe 17.04.2008 Marehemu Anthony Njeje.Hatupo nawe kimwili lakinii kiroho upo nasi daima.
Tunakukumbuka sana Baba yetu Mpendwa. Unakumbukwa sana na Mke wako Mpendwa Mama
Elizabeth Anthony Njeje, Wanao Aninziye, Luseshelo-Ernest, Fredy na Sarah.
Wajukuu zako Anthony Jr, Shikunzi-Alvin, Amarisa na Yasinta, Pia unakumbukwa na
wafanyakazi wenzako wote, majirani zako, waumini wenzako, ndugu Jamaa na
Marafiki. Sisi Tulikupenda sana lakinin Mungu alikupenda Zaidi. Jina la Bwana
Lihimidiwe.
Amen
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)