Kampuni ya ndege ya fastjet yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Kampuni ya ndege ya fastjet yatoa msaada kwa kituo cha watoto yatima CHAKUWAMA

Fasjet watoa msaadaWafanyakazi wa Kampuni ya ndege ya fastjet wakiwa na vifaa mbalimbali  msaada wa  wa kibinadamu ikiwa ni pamoja na vitabu vya shule, vinywaji na vyakula vilivyotolewa katika kituo cha watoto yatima  cha CHAKUWAMA  kilichopo  Sinza Mori Kinondoni jijini Dar es salaam wakati wa pasaka, vifaa hivyo vilipokelewa na  Hassan Khamis  katikati Katibu wa CHAKUWAMA(aliyevaa shati la bluu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages