DK. SHEIN AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA ELIMU NA MFUNZO YA AMALI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

DK. SHEIN AKUTANA NA WATENDAJI WA WIZARA YA ELIMU NA MFUNZO YA AMALI

_MG_9531Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara  ya Elimu na Mafunzo ya Amali, katika utekelezaji wa kazi za Wizara hiyo katika Ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar jana asubuhi,( kushoto)  Makamo
wa Kwanza wa  Rais Maalim  Seif Sharif Hamad
_MG_9536Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali mbali katika Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha  utekelezaji wa Kazi za  Wizara hiyo, kilichofanyika jana chini mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein. _MG_9540Baadhi ya Watendaji na maafisa wa Idara mbali
mbali katika Wizara ya  Elimu na Mafunzo ya Amali,wakiwa katika ukumbi wa mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,katika kikao cha  utekelezaji wa Kazi za  Wizara hiyo, kilichofanyika jana chini mwenyekiti Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages