Barclays Bank Tanzania yawaletea wateja wake kampeni kabambe ijulikanayo Kama‘Maisha bomba na Barclays ndani ya sanduku la dhahabu’ - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Barclays Bank Tanzania yawaletea wateja wake kampeni kabambe ijulikanayo Kama‘Maisha bomba na Barclays ndani ya sanduku la dhahabu’

1Samwel Mkuyu Mkuu wa usamazaji bidhaa kwa rejareja akizungumza wakati wa uzinduzi wa Maisha Bomba With Barclays Golden Briefcase Campaign uliofanyika kwenye ofisi za benki hiyo tawi la Moroco jijini Dar es salaam leo. 2Kutoka kulia ni Samwel Mkuyu Mkuu wa usamazaji bidhaa kwa rejareja Lilian Machera Ofisa Mawasiliano Musa Kitoi Mkuu wa Usambazaji na Rahma Ngasa wakiwa wakionyesha “Maisha Bomba With Barclays Golden Briefcase Campaign 3Baadhi ya wafanyakazi wa benki ya Barclays wakiwa katika uzinduzi huo leo
…………………………………………………………..
Barclays Tanzania leo imetangaza rasmi uzinduzi wa kampeni yake ya Sanduku la Dhahabu kwa wateja wake muhimu wa sasa na wale wanaolengwa kwa baadaye.
Barclays itaendesha kampeni hii muhimu ambayo itawapa wateja wao muhimu fursa ya kujishindia zawadi mbalimbali kila mwezi kwa muda wa miezi mitatu (3). Ukiweka pesa zako benki na ukaweza kubakisha salio lililokusudiwa, wewe ukiwa kama mteja wetu wa sasa na hata yule mpya utaweza kuingia kwenye droo ambapo wateja 10 watajinyakulia zawadi mbalimbali na mshindi wa jumla atajinyakulia zawadi ya shilingi millioni kumi za kitanzania (10,000,000 TZS). Promosheni hii inaanza leo hii tarehe 11 Aprili 2013 hadi tarehe 30 iJune2013 (3 months)
 
Akiongea na waandishi wa habari leo hii, Kaimu Mkuu wa kitengo cha biashara cha benki ya Barclays Tanzania bwana amesemashindano hili liko wazi kwa wale wateja wapya na wa zamani wenye akaunti za binafsi ambao wanahifadhi pesa zao na benki yetu hapa tanzania kwenye akaunti ya Kuweka”.Akiongezea wateja ambao watatakiwa kuingia katika promosheni hii ni wale tu wenye akaunti za Hundi na Akiba, na wanatakiwa waongeze salio lao kwenye akaunti mpaka lifikie shilingi laki tano za kitanzania (500,000TZS), na salio hili libakie kwenye akaunti bila kupungua ndani ya mwezi wa shindano. Kwa wale wateja wapya wanaweza wakaweka shilingi laki tano kwenye akaunti zao bila kuzipunguza na wakaingia kwenye shindano la mwezi walioweka pesa zao. Wateja wetu wote wa sasa na wapya wataweza kuingia na kujishindia zaidi ya mara moja iwapo wataongeza ziada ya shilingi laki tano (500,000 TZS) ndani ya mwezi husika. Zawadi kubwa na ya jumla itatolewa kwenye sanduku la dhahabu, na pia washindi wote wa mwezi wa sita watapata nafasi ya kuchagua sanduku la dhahabu wanalolipenda kila mmoja na ndani yake kutakuwa na zawadi mbalimbali

2 iPad mbili (2)vocha tano (5) za maduka makubwa ya bidhaa zenye thamani ya shilingi laki mbili za kitanzania (TZS 200,000) kila moja, mashine za kufulia nguo mbili (2), na cinema moja (1) ya ndani.

5 shopping vouchers worth TZS200,000 each.
2 washing machines. 
 
Shindano hili litafanyika kila wiki ya kwanza ya kila mwezi na kuzingatia walioingia kwenye shindano mwezi uliotangulia.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages