Ndugu Msomaji,
Kutokana na Changamoto za Ajira ambazo Taifa letu la Tanzania inakabiliana nazo, Kampuni yaConnectmoja Technologies ikishirikiana
na OMA Financials tumeamua kukuletea Njia mbadala ya kufikia malengo
yako. Kwa pamoja Tunaunda Taasisi isiyo ya kiserikali na pia isiyo na
mfumo wa kibiashara ambayo inaitwa VIJANA AJIRA(VA).
Taasisi
hii itajihusisha na mambo kadhalika ikiwamo, Kuandaa mijadala, kuandaa
warsha Pamoja na kutangaza nafasi mbalimbali za kazi nje na Ndani ya
Nchi, Hii ni Taasisi Suluhisho kwaajili ya matatizo yanayowakumba
watanzania hasa katika Ajira na kujiajiri.
Tunakukaribisha
uunge mkono Jitihada zetu kwa kuitembelea Tovuti hii pamoja na
Kuitangaza popote unapopata Nafasi. Ni rahisi tu, yaani Tembelea www.vijanaajira.or.tz
Vijana Ajira – Co-Founders
Connectmoja Technologies Co. Ltd
Tell: +255 714 88 000 7 / +255 714 1 000 11
Dar es salaam
--
Deogratius Lazari
Project Manager - Connect MOJA
LA investment





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)