Waziri Mkuu, wa Denmark Ms. Helle Thorning- Schmidt Amaliza Ziara Yake Ya Kikazi Nchini - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri Mkuu, wa Denmark Ms. Helle Thorning- Schmidt Amaliza Ziara Yake Ya Kikazi Nchini

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsindikiza Waziri Mkuu, wa Denmark Ms. Helle Thorning- Schmidt  kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere ambaye Machi 8, 2013 usiku aliondoka kurejea nyumbani baada ya ziara ya kikazi nchini.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza  na  Waziri Mkuu wa Denmark, Ms, Helle Thorning Schmidt  kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere wakati mgeni huyo alipoondoka Machi 8, 2013  usiku kurejea nyumbani baada ya ziara yake ya kikazi nchini.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages