Wasanii wa vikundi vya utamaduni wakitoa burudani wakati wa kupatiwa
fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi
wa M-pesa Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika
katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Wanawake Wajasiriamali wakifurahi wakati wa kupatiwa fedha za
mkopo usio na riba kutoka Vodacom Tanzania kupitia mradi wa M-pesa
Women Empowerment Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika
viwanja vya Mwembe yanga Temeke jijini Dar es Salaam.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Watoto Ummy
Mwalimu (kushoto) na msanii Mrisho Mpoto wakifurahi na wananwake
wajasiriamali wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka
Vodacom Tanzania kupitia mradi wa M-pesa Women Empowerment
Initiative (MWEI) kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya
Mwembeyanga Temeke jijini Dar es Salaam .
Ofisa wa Vodacom Foundation Ali Mbuyu akiwahakiki Wanawake Wajasiriamali
wakati wa kupatiwa fedha za mkopo usio kuwa na riba kutoka Vodacom
Tanzania kupitia mradi wa M-pesa Women Empowerment Initiative (MWEI)
kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke jijini
Dar es Salaam Jumamosi.
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa
pili kulia) akimkabidhi fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke
Sterio,Ashura Nampe Nampeja kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani
iliyofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha
hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia
mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania.
Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa
pili kulia) akimkabidhi fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke
Sterio,Aziza Maiga kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani
iliyofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha
hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia
mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania.
Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa
pili kulia) akimkabidhi fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke
Sterio, Nuru Njovu , kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani
iliyofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha
hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia
mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania.
Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.
Naibu waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ( wa
pili kulia) akimkabidhi fedha taslimu mjasiriamali wa Soko la Temeke
Sterio,Sara Kiswiri kwenye hafla ya Siku ya Wanawake Duniani
iliyofanyika Mwembe Yanga jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Fedha
hizo ni mkopo usio na riba unaotolewa na Vodacom Tanzania kupitia
mpango wake MWEI katika kuwawezesha wanawake kiuchumi hapa Tanzania.
Kulia ni Meneja wa Vodacom Foundation, Grace Lyon.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)