Ujenzi wa Kituo Cha Mabasi yaendayo kasi katika kituo cha Magomeni kikiwa tayari kishaanza kujengwa na kampuni iliyopewa kazi ya kutengeneza barabara ya Strabag. Kituo hiki ni kimoja ya Vituo vitakavyotumika kwaajili ya mabasi yaendayo kwa kasi hapa nchini hususani katika jiji la Dar Es Salaam
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)