Balozi Dk Diodorus Kamala Akutana na Watanzania Waishio Nchini Uholanzi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Balozi Dk Diodorus Kamala Akutana na Watanzania Waishio Nchini Uholanzi

Makamu Mwenyekiti wa Umoja wa Watanzania waishio Uholanzi (TANE), Bw. Musuto wa Chirangi  (aliyesimama) akizungumza wakati wa kumkaribisha Balozi Kamala.
Mwenyekiti wa TANE, Bw. Kweba Bulemo (aliyesimama Kulia), akisema machache kabla ya kumkaribisha Mhe. Balozi.
 Balozi wa Tanzania katika eneo la BENELUX, Dk Diodorus Kamala akizungumza na Watanzania wanaoishi nchini Uholanzi. Ambapo pamoja na mambo mengine aliwasihi kuwekeza nchini.
Balozi Dk. Kamala akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Uholanzi.Picha na Habari na Saidi Ahmed Mkabakul

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages