Rais Jakaya Kikwete Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Awamu ya Tatu ya Jengo la Taasisi ya Magonjwa ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Rais Jakaya Kikwete Aweka Jiwe La Msingi Ujenzi Wa Awamu ya Tatu ya Jengo la Taasisi ya Magonjwa ya Mifupa na Mishipa ya Fahamu Katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jijini Dar es Salaam

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiweka jiwe la msingi ujenzi wa awamu ya tatu ya jengo la Taasisi ya magonjwa ya mifupa na mishipa ya fahamu katika hospitali ya taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam jana asubuhi.Kulia ni Nabu Waziri wa Afya Dr.Seif Rashid. Picha na Freddy Maro-IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages