Mwanvita
Makamba, akiwa katika Chumba alicholazwa Mhariri Mkuu Mtendaji, wa
Kampuni ya New Habari 2006 Ltd,Absalom Kibanda, ambaye pia ni Mwenyekiti
wa Jukwaa la Wahariri, wakati alipomtembelea kumjulia hali katika
Hospitali ya Milpark baada ya kufikishwa katika hospitali hiyo jana usiku nchini Afrika ya Kusini. .JPG)
Kibanda, akiendelea na matibabu katika Chumba cha wagonjwa mahututi katika Hospitali hiyo. Picha na Amani Tanzania Blog





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)