Mtoto Suzan Kaseba, akimlisha keki mama yake Wema Kaseba, wakati wa hafla
fupi ya kusherehekea siku yake ya kuzaliwa iliyofanyika shuleni kwao St.
Josephe juzi. Katikati ni baba yake mzazi Japhet Kaseba, bingwa wa
Taifa wa mchezo wa masumbwi nchini.
Bingwa
wa Taifa mchezo wa Masumbwi nchini, Japhet Kaseba na mkewe kwa pamoja
wakilishwa keki na mtoto wao Suzan, wakati wa hafla fupi ya kusherehekea
siku ya kuzaliwa ya mtoto huyo.
| Bingwa wa ngumi za kulipwa uzito wa kati Japhet Kaseba (kulia) na mkewe wakiwa katika picha ya pamoja na mtoto wao Suzan
Kaseba, pamoja na wanafunzi wenzake na mtoto wao, wakati wa sherehe ya
mtoto huyo ya kutimiza umri wa miaka 11.Picha na Super D |





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)