Marehemu Bernadeta Minja Enzi za Uhai Wake
Mwalimu
Bernadeta Minja wa Kitivo cha Sayansi ya Jamii, Idara ya Uchumi na
Biashara Ya Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) amefariki dunia jana usiku katika ajali ya basi la Mohamed iliyotokea jana usiku eneo la Gairo akiwa
safarini kuelekea Dodoma yeye pamoja na mfanyakazi wake wa ndani. Pole,
sala na dua zetu ziende kwa familia yake, ndugu, jamaa, marafiki na
jamii nzima ya UDOM.
Msiba Upo Dodoma eneo la Kisasa alipokuwa akikaa Marehemu
Bwana Ametoa na Bwana Ametwaa Jina la bwana libarikiwe
Lukaza Blog inapenda kutoa Pole Kwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dodoma, Wafanyakazi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma, Wanafunzi Wa UDOM pamoja na Familia nzima ya Marehemu






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)