MATUMIZI SAHIHI YA ALAMA ZA BARABARANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MATUMIZI SAHIHI YA ALAMA ZA BARABARANI

Daladala linalofanya kazi kati ya Tabata Segerea na Mnazi Mmoja likiwa limeharibika eneo la Tabata Shule huku wakiwa wameweka alama ya kuashiria kuwa gari hilo limepata matatizo.Alama hiyo ya pembe tatu ni alama ambayo inamfanya dereva wa gari la nyuma kutambua kuwa gari la mbele yake limepata hitilafu kwahiyo anatakiwa kuwa mwangalifu.Haya ndio matumizi sahihi ya alama za barabarani

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages