Hawa Sulemani, akijisomea
moja ya vipeperushi vya Mamlaka ya Mawasiliano Tanzaniawakati wa semina
ya Majukumu ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika
Wilaya ya Mafia kwa kuwashirikisha viongozi mbalimbali wa wilaya hiyo.
Mhandisi wa Masafa wa Mamlaka ya Mawssiliano Kanda ya Mashariki, Stella Bunyenza, akitoa mada ya Ukuaji wa Teknolojia wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawsiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia.
Mhasibu
wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba
akitoa maada ya Mfumo wa Anuani za Makazi na Posti Kodi wakati wa Semina
ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki iliyofanyika
Wilayani Mafia.
Mkuu wa Wilaya ya Mfia Sauda Mtondoo akimkabidhi Prudence
Nyombi zawadi ya King’amuzi cha Star timu baada ya kujishindia kutokana
na kujibu swali aliloulizwa juu ya matumizi ya Mawasiliano, wakati wa
Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Mashariki
iliyofanyika Wilayani Mafia.katikati ni Mkurugenzi wa Watumiaji na Watoa
Huduma za Mawasiliano Dk. Raymond Mfungahema akishuhudia.
Mkurugenzi
wa Watumiaji na Watoa Huduma za Mawasiliano Dk. Raymond Mfungahema
akimkabidhi zawadi ya simu aina ya Nokia Mkuu wa Wilaya ya Mafia
Bi,Sauda Mtondoo wakati wa Semina ya Majukumu ya Mamlaka ya Mawsiliano
Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki iliyofanyika katika Wilaya ya Mafia.





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)