HALI YA KITUO CHA DALADALA CHA SEGEREA BAADA YA MVUA KUNYESHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HALI YA KITUO CHA DALADALA CHA SEGEREA BAADA YA MVUA KUNYESHA

Kituo cha Daladala cha Segerea ni Kituo Kimoja wapo cha Kisasa Kwa maana ya muonekano na jinsi ya mpangilio wa magari ambavyo yanastahili kukaa na ni kituo kimoja kati ya viwili vyenye muonekano wa kuvutia kikifuatiwa na Kituo Cha Mbezi Mwisho lakini Kituo hiki kimekuwa kituo ambacho Mvua ikinyesha kidogo tu mabwawa kila kona na ikumbukwe kuwa kituo hiko bado hakijakabidhiwa lakini hali ndio kama hivyo unaiona hapo katika picha

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages