Mwendesha pikipiki almaarufu kwa jina la Boda boda akiosha ofisi yake kwa maji ya mvua yaliyotuama mara baada ya mvua kumalizika kunyesha kama alivyonaswa na kamera ya Lukaza Blog katika kituo cha Daladala cha Segerea hapo jana
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)