CHINA YATOA TATHMINI YA ZIARA YA RAIS XI JINPING NCHINI TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

CHINA YATOA TATHMINI YA ZIARA YA RAIS XI JINPING NCHINI TANZANIA

1-mshauri LIu Dong akiongeaMshauri wa Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya watu wa China kwa Jamhuri ya  muungano wa Tanzania Liu Dong akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu manufaa ya ujio wa Rais wa China, hali ya mkutano wa kwanza wa Bunge la umma ya 12 la China  pamoja na mkutano wa kwanza wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la awamu ya 12 la China. Pia China imeishukuru serikali ya Tanzania kwa mapokezi mazuri wakati wa ziara ya Rais mpya  XI Jinping ya  Jamhuri ya Watu wa China, pamoja na  waandishi wa habari katika juhudi zakuendeleza uhusiano mzuri baina ya China na Tanzania.
baadhi ya wanahabari wakipata ufafanuzi- ( Mshuari LIU DONG) shotoMshauri wa Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya watu wa China kwa Jamhuri ya  muungano wa Tanzania,  LIU DONG (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam , baada ya kutoa taarifa kuhusu manufaa ya ujio wa  ziara ya Rais mpya XI Jinping wa Jamhuri ya watu wa China, hali ya mkutano wa kwanza wa Bunge la umma la awamu ya 12 la China pamoja na mkutano wa kwanza wa Baraza la mashauriano ya kisiasa la awamu ya 12 la China. 5-MEDIa_1 Baadhi ya waandishi wa habari  wakifuatilia kwa makini taarifa iliyotolewa na Mshauri wa Utamaduni wa Ubalozi wa Jamhuri ya watu wa China kwa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Liu Dong. (hayupo pichani)leo katika Ubalozi wa China nchini.(Picha zote na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO).

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages