Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa Tanzania Mhe.Shukuru Kawambwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Wazungumza na Waadishi wa Habari Juu ya Mikakati walioiweka juu ya kushirikiana na Tume ilioundwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda Yakuchunguza Matokeo ya Mitihani ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa Tanzania Mhe.Shukuru Kawambwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Wazungumza na Waadishi wa Habari Juu ya Mikakati walioiweka juu ya kushirikiana na Tume ilioundwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda Yakuchunguza Matokeo ya Mitihani ya Wanafunzi wa Kidato cha Nne

   Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Ali Juma Shamhuna akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mikakati walioiweka pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa Tanzania Shukuru Kawambwa juu ya kushirikiana na Tume ilioundwa ya kuchunguza matokeo ya Mitihani ya wanafunzi wa Kidato cha Nne,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa  Wizara ya Elimu Zanzibar
 Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi wa Tanzania Mhe.Shukuru Kawambwa akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Mikakati walioiweka pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali wa Zanzibar juu ya kushirikiana na Tume ilioundwa ya kuchunguza matokeo ya Mitihani ya wanafunzi wa Kidato cha Nne,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa  Wizara ya Elimu Zanzibar. 
Waandishi wa Habari wakimsikiliza Waziri wa Elimu na Tanzania Mhe.Shukuru Kawambwa akizungugumza na Waandishi na Viongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar kuhusiana na Matokeo ya Mitihani ya Kidatu cha Nne. mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Elimu Mazizini Zanzibar.Picha na Othman Maulid Othman-Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages