RAIS KIKWETE KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA POLISI. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE KATIKA UFUNGUZI WA MKUTANO WA POLISI.

4Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete, akitoa hotuba ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka kwa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni katika ukumbi wa Pius Msekwa Bungeni, mjini Dodoma.
5  Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema alipokua anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni.Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”.
6Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete, akiagana na Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IJP Saidi Mwema juzi katika  viwanja vya Bunge mjini Dodoma baada ya kufanya ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi.
1Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi waandamizi wa Jeshi la Polisi alipokua anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni. Kauli mbiu ni ”Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”.
2Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema alipokua anawasili katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi juzi jioni.Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti”. Kushoto ni Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe, Dk. Emmanuel Nchimbi.
3Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dr Jakaya Mrisho Kikwete akiingia katika ukumbi wa Bunge wa Pius Msekwa juzi jioni mjini Dodoma alipokwenda kufungua mkutano mkuu wa mwaka wa Maafisa wakuu waandamizi wa Jeshi la Polisi. Kauli mbiu ni “Tujenge Uwezo wa Jamii na Polisi Kukabiliana na Vurugu kwa Kuimarisha Utii wa Sheria Bila Shuruti” Nyuma yake ni Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IJP Saidi Mwema. Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.Picha Na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages