Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.Wakati wa Mazishi yake yaliyofanyika jioni ya leo nje ya Kanisa hilo.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Mkewe Mama Sitti Mwinyi wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Willim Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la aliekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT),Dayosisi ya Kaskazini na Kati,Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
Mke wa Marehemu Askofu Dk. Thomas Laizer,Mama Maria Laizer pamoja na familia ya Marehemu,wakiweka shada la maua kwenye Kaburi la Askofu Dk. Thomas Laizer aliefariki Dunia Februari 7,2013 katika Hospitali ya Hospitali ya Selian,Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)