Rais
Dkt.Jakaya Mrisho kikwete akimkaribisha ikulu Waziri wa Mambo ya Nje wa
Ufalme wa Oman Mhe.Yousuf bin Alawi bin Abdullah wakati waziri huyo
alipomtembelea na kufanya naye Mazungumzo.
Rais
Dkt,Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Waziri wa Mambo ya
nje wa Oman Mhe.Yousuf Bin Alawi bin Abdullah ikulu jijini Dar es
Salaam leo.
-Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Oman
Mhe.Yousuf Bin Alawi bin Abdullah(kushoto) baada ya kufanya naye
mazungumzo ikulu jijini Dar es Salaam leo.Wengine ni wajumbe waliofutana
na Waziri huyo. Picha na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)