| Mkuu wa shule ya Mbeya sekondari Mwamwitu Msigwa akimshukuru Josephine Kulwa kwa msaada waliopata toka NMB |
| Walimu nao wa Mbeya sekondari hawakuwa nyuma kuja kupokea msaada huo hapa wakiangalia kompyuta hizo |
| Baadhi ya watumishi wa NMB wakiwa makini kusikiliza shukrani zinazotolewa shuleni hapo |
| Meneja mawasiliano wa NMB Josephine Kulwa amewataka waalimu na wanafunzi hao kutumia vifaa hivyo kwa malengo yaliokusudiwa na kuvitunza ili na wengine wapate kuvitumia. |
| Mkuu wa shule ya Mbeya sekondari Mwamwitu Msigwa pia nae amewashukuru sana NMB kwa msaada waliotoa kwa shule yake |
| Huu ndiyo msaada wa kompyuta na printer toka NMB.Picha na Mbeya yetu |





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)