BAADHI YA WAGENI WALIOHUDHURIA BOOKERS PARTY WAKIFURAHIA KINYWAJI CHA BAILEYS NA KEKI ZILIZOTENGENEZWA KWA KUTUMIA KINYWAJI HICHO KUTOKA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI (SBL)
MENEJA MASOKO WA DSTV FURAHA SAMALU AKIFURAHIA KINYWAJI CHA BAILEYS NA KEKI ILIYOTENGENEZWA KWA KINYWAJI HICHO KUTOKA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI(SBL) KATIKA BOOKERS PARTY ILIYOFANYIKA SEE CLIFF MWISHONI MWA WIKI.
MENEJA MAUZO NA MASOKO KUTOKA HOTELI YA SEE CLIFF JEAN FRANCOIS VARET AKIKABIDHI ZAWADI YA BAILEYS KUTOKA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI KWA MFANYAKAZI WA DSTV GABRIEL ERINEST KATIKA BOOKERS PARTY ILIYOFANYIKA HOTEL YA SEE CLIFF MWISHON MWA WIKI
MABALOZI WA KINYWAJI CHA BAILEYS KUTOKA KAMPUNI YA BIA YA SERENGETI (SBL) WAKITOA UFAFANUZI KUHUSU KINYWAJI HICHO KWA WAGENI WALIOHUDHURIA BOOKERS PARTY ILIYOFANYIKA KATIKA HOTELI YA SEA CLIFF JIJINI DAR ES SA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)