KIKOSI CHA JESHI WANAMAJI TANZANIA WATEMBELEA MELI YA KIRUSI YA KUPAMBANA NA MAHARAMIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

KIKOSI CHA JESHI WANAMAJI TANZANIA WATEMBELEA MELI YA KIRUSI YA KUPAMBANA NA MAHARAMIA

 Meja wa jeshi la wanamaji la Urusi aliyejitambulisha kwa jina la But, akimsikiliza  mmoja wa askari wa  jeshi la wanamaji Tanzania  wakati alipokuwa akimuliza swali kuhusiana na matumizi ya  bunduki ya kisasa wanayotumia katika kufanya ulinzi wa kupambana na uharamia katika bahari ya hindi wakati walipotembelea katika Meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
 Afisa Mwandamizi wa jeshi la wanamaji kutoka Urusi Admiral Vdovenko akiwaonyesha  wanajeshi wa jeshi la maji la Tanzania moja ya bunduki ya kisasa wanayotumia katika kupambana na uharamia unaofanywa na magaidi katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi wa tanzania walipotembela katika meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari20 2013.
 Wanajeshi wa jeshi la wanamaji la Tanzania wakijaribu bunduki  huku Luteni  wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff   akiwapa maelezo juu ya siraha hizo ambazo zinatumika katika kupambana na uharamia baharini wakati walipotembelea katika Meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana  februari 20 2013.
 Wanajeshi wa jeshi la wanamaji kutoka Urusi wakinyanyua moja ya bunduki wakati walipokuwa wakitoa elimu kwa wanajeshi la wanamaji la Tanzania wakati walipotembela katika meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
 Luteni Kanali wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff   (kushoto)akiwaelezea wanajeshi wa Jeshi la Wanamaji wa Tanzania  jinsi moja ya  vifaa vya kivita wanavyotumia katika ulinzi wa kupambana na waharamia wakati wanapofanya doria baharini. wakati walipotembelea katika Meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana februari 20 2013.
 Luteni  wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff   (watatu kutoka kulia)akiwaelezea wanajeshi wa Jeshi la Wanamaji  nchini jinsi nchini yao inavyofanya ulinzi wa kupambana na waharamia kwa kutumia helikopta wakati walipotembelea katika Meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana  februari 20 2013.
Mkuu wa msafara wa meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  Admiral Eremin (katikati) akitoa elimu  kwa wanajeshi wa jeshi la Wanamaji la Tanzania juu ya kupambana na maharamia katika bahari ya hindi , wakati wanajeshi hao walipotembelea  katika meli ya kivita  aina ya  Ant Submarine yenye jina la MARSHAL SHAPOSHNIKOV”,  iliyotia nanga katika bandari ya Dar es Salaam,  kwa  lengo la kufanya ziara ya kirafiki baina ya Jeshi la Wanamaji wa Tanzania na Urusi meli hiyo iliwasili Februari 16. 2013 na imeondoka jana  februari 20 2013.kulia ni Afisa Mwandamizi wa jeshi la wanamaji kautoka Urusi Admiral Vdovenko na kushoto ni Luteni  wa jeshi la Wanamaji kutoka nchini Urusi Tagir Mavlihanoff.Picha zote na Mroki Mroki

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages