Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini, Kamishna Jenerali
John Minja (kushoto) akisalimiana na wakuu wa magereza ya Mkoa wa Dodoma
kabla ya kuzungumza nao katika ofisi za Mkuu wa Magereza mkoa huo.
Mkuu wa Gereza la Kondoa, mkoani Dodoma Rished Omari
Kajiru akitoa taarifa ya gereza lake kwa Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini,
Kamishna Jenerali John Minja.
Mkuu wa Gereza la Kondoa, mkoani Dodoma Rished Omari
Kajiru akitoa taarifa ya gereza lake kwa Mkuu wa Jeshi la Magereza nchini,
Kamishna Jenerali John Minja.
Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dodoma, SACP Kibana Kamtande
akimuonyesha Mkuu wa Jeshi la Magereza, CGP John Minja bwalo linaloendelea
kujengwa la Gereza la Isanga lililopo mjini Dodoma. Kulia (aliyevaa
kiraia) ni Mhasibu Mkuu wa Jeshi la Magereza, Estomiah Hamis. PICHA ZOTE
NA KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)