Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar
Othman Makungu akizungumza na Waandhishi wa Habari masuala mbalimbali ya
Mahakama Ofisini kwake Vuga Mjini Zanizbar.
Baadhi
ya Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali waliohudhuria katika
Mkutano ulioitishwa na Jaji Mkuu wa Zanizbar Omar Othman Makungu
kuzungumzia masuala mbalimbali ya Mahakama Ofisini kwake Vuga Mjini
Zanizbar.Picha na Yussuf Simai-Maelezo,Zanzibar
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)