JAJI WARIOBA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

JAJI WARIOBA AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO

IMG_8497
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba akizungumza katika mkutano na waandishi wa vyombo vya habari aliokutana leo katika ofisi za Tume hiyo Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Jaji Mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.(PICHA NA TUME YA KATIBA)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages