Katibu
Taifa wa Chama cha Wasanii wa Filam Tanzania, Christian Kauzen
(katikati),akizungumza na wasanii wa filamu katika ukumbi wa Vijana
Kinondoni Dar es Salaam leo, kuhusu Baraza la Filamu kuwatoza gharama
kubwa za kurekodi kazi zao. Kutoka kushoto ni Mweka hazina wa chama
hicho, Estaer Saningu, Mwenyekiti wa Mkoa wa Ilala, Husna Mgeni,
Mwenyekiti wa Taifa Mike Sangu na Makamu Mwenyekiti wa wilaya ya
Kinondoni Salum Chilwa. PICHA NA PHILIMON SOLOMONI WA FULLSHANGWE
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)