UKIONA MSONGAMANO KAMA HUU JUA TAYARI KUNA JAMBO HAPO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UKIONA MSONGAMANO KAMA HUU JUA TAYARI KUNA JAMBO HAPO

Vijana wa Bodaboda ambao wajina yao hayakuweza kufahamika mara moja Wakiwa katika Mkwaruzano mzito wa wenyewe kwa wenyewe ambapo chanzo cha mkwaruzano huo haukuweza kufahamika kwa haraka huku ukipelekea vijana hao kutaka kutwangana makonde haswa katika barabara ya Morogoro njia panda ya kwenda mabibo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages