RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUA MRADI WA ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRICA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI WA ZANZIBAR DK SHEIN AZINDUA MRADI WA ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRICA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikabidhi Mipira kwa Ridhiwan B.Makame,wa Kaskazini A Unguja,wakati alipozindua mradi wa “ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRICA”,mradi wa Ugawaji wa mipira kwa vikundi mbali mbali vya vijana katika kukuza vipaji vya Mpira wa Miguu hapa Nchini uliofadhiliwa na Shirika hilo chini ya usimamizi wa Mwakilishi wake Sandra Cress,(wa pili kulia) sherehe hizo zilifanyika jana katika Uwanja wa Amaan Studium,katika kuadhimisha Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akikabidhi Mipira kwa Ali Simai Mrisho,wa Kusini Unguja,wakati alipozindua mradi wa “ONE WORLD FOOTBALL FOR AFRICA”,mradi wa Ugawaji wa mipira kwa vikundi mbali mbali vya vijana katika kukuza vipaji vya Mpira wa Miguu hapa Nchini uliofadhiliwa na Shirika hilo chini ya usimamizi wa Mwakilishi wake Sandra Cress,(wa pili kulia) sherehe hizo zilifanyika jana katikamUwanja wa Amaan Studium,katika kuadhimisha Miaka 49 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages