Tangazo Maalum Kutoka Tume ya Mabadiliko ya Katiba:Ingawa Mikutano ya Kukusanya Maoni Binafsi ya Wananchi imemalizika,Sasa Wananchi Wanaweza Kuendelea Kutoa Maoni Ya Katiba Mpya Kupitia Mitandao - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Tangazo Maalum Kutoka Tume ya Mabadiliko ya Katiba:Ingawa Mikutano ya Kukusanya Maoni Binafsi ya Wananchi imemalizika,Sasa Wananchi Wanaweza Kuendelea Kutoa Maoni Ya Katiba Mpya Kupitia Mitandao

katiba+mpya+2
Ingawa mikutano ya kukusanya maoni binafsi ya wananchi imemalizika, wananchi wanaweza kuendelea kutoa maoni kuhusu Katiba Mpya kupitia 0774/0767/0715/0787-081508; maoni@katiba.go.tz Box 1681 Dsm au 2775, Zanzibar; kupitia tovuti ya Tume www.katiba.go.tz na facebook page ya Tume Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Toa Maoni, Tupate Katiba Mpya.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages