Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula Atembelea Uchimbaji wa Madini ya Bauxite yanayochimbwa kwenye kijiji cha Marieni Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula Atembelea Uchimbaji wa Madini ya Bauxite yanayochimbwa kwenye kijiji cha Marieni Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro

Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na Mkurugenzi wa Baraza la hifadhi na Usimamizi wa Mazingira {NEMC] Eng Benventure Baya na Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makmu wa Rais Dk Julias Ningu na Ofisa Mwandamizi Bw Timotheo Mande mara baada ya kutembelea Uchimbaji wa Madini ya Bauxite yanayochimbwa kwenye kijiji cha Marieni Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akizungumza na wanakijiji cha Marieni Wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro alipokwenda kukagua Shughuli za Uchafudhi wa  Mazingira katika kjijihicho jana.
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akiangalia Maadini Bauxite yanayochimbwa na kampuni ya Willy Enterprises alipokwenda kuangalia hali ya Uchafuzi wa Mazingira katika Kijiji cha Marieni Wilayani Same Mkoa waKilimanjaro
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Sazi Salula akionyeshwa-ex rey Mashine kwa ajili ya kupimia Bauxite na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kuchimba Madini ya bauxite ya kutengeneza Saruji Eng.Alumbwage Mhagama Katibu mkuu wakati alipofanya Ziara ya kikazi nakuona hali ya Mazingira kwenye Kijiji cha Marieni wilaya ya Same Mkoa wa Kilimanjaro,Picha Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages