Rais Jakaay Mrisho Kikwete akihutumia mamia ya wananchi wa Igunga
katika mkutano mkubwa wa hadhara uliofanyika uwanja wa Barafu mjini
Igunga baada ya kuzindua ujenzi wa daraja la Ndutu pamoja na mradi
mkubwa wa maji utaohudumia asilimia 70 ya wakazi wa Igunga.PICHA NA IKULU
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)